saadmad JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 573 Reaction score 295 Mar 6, 2025 #21 Kaab msafi said: wakichukuaga hawarudishi mrejesho Mkuu[emoji28] Click to expand... Hahahhaa huyu mwana amerudisha kaka japo baada ya kuclear issue kadhaa..
Kaab msafi said: wakichukuaga hawarudishi mrejesho Mkuu[emoji28] Click to expand... Hahahhaa huyu mwana amerudisha kaka japo baada ya kuclear issue kadhaa..
saadmad JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 573 Reaction score 295 Mar 6, 2025 #22 A.MTALE said: Silence m Silence means 😄 😄 Click to expand... Means nothing mkuu...... hahaha nashukuru kwa mrejesho bro
A.MTALE said: Silence m Silence means 😄 😄 Click to expand... Means nothing mkuu...... hahaha nashukuru kwa mrejesho bro
H Hassanjk JF-Expert Member Joined Feb 24, 2023 Posts 333 Reaction score 689 Mar 6, 2025 #23 A.MTALE said: Wakuu habarini!. Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions. Click to expand... hakuna tatizo Bos, wanachakata malipo yako Wape muda utapata cheki yako....
A.MTALE said: Wakuu habarini!. Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions. Click to expand... hakuna tatizo Bos, wanachakata malipo yako Wape muda utapata cheki yako....