Wakuu naomba kuelimishwa, baada ya kufungua madai NSSF, Total Contributions inasoma Zero, Statement hakuna kitu

Wakuu naomba kuelimishwa, baada ya kufungua madai NSSF, Total Contributions inasoma Zero, Statement hakuna kitu

Wakuu habarini!.

Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.

hakuna tatizo Bos, wanachakata malipo yako
Wape muda utapata cheki yako....
 
Back
Top Bottom