Wakuu naomba kuelimishwa, baada ya kufungua madai NSSF, Total Contributions inasoma Zero, Statement hakuna kitu

A.MTALE

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
43
Reaction score
18
Wakuu habarini!.

Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
 
Una uhakika muajiri alikuwa anaweka michango yako?
Siku zote michango yango inasoma ipo sahihi alikuwa naweka na kila kitu kipo sawa na michango saaa kabisa. Ila nilipofungua madai kwenye status ilipokuwa lodged bado salio lilikuwa linasoma na michango ipoo, lakini baada ya claim status kuwa Pending ndio salio likawa linasoma ZERO na No Contributions.
 
Mwajiri alikuwa hapaleki.
Hata makato yako mwajiri wako alikula.
Siku zote michango yango inasoma ipo sahihi alikuwa naweka na kila kitu kipo sawa na michango saaa kabisa. Ila nilipofungua madai kwenye status ilipokuwa lodged bado salio lilikuwa linasoma na michango ipoo, lakini baada ya claim status kuwa Pending ndio salio likawa linasoma ZERO na No Contributions
 
Wakuu habarini!.

Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
pesa yako imeamishwa kutoka mfuko wa lazima kwenda mfuko wa hiali njoo inbobo nikupe shule na connection.
 
Siku zote michango yango inasoma ipo sahihi alikuwa naweka na kila kitu kipo sawa na michango saaa kabisa. Ila nilipofungua madai kwenye status ilipokuwa lodged bado salio lilikuwa linasoma na michango ipoo, lakini baada ya claim status kuwa Pending ndio salio likawa linasoma ZERO na No Contributions
Mtetee hivyo hivyo
 
Mtetee hivyo hivyo
Si vyema kama hujui kitu kwamba lazima ujibu nakwambia kuwa michango yote ilikuwa inasoma sahihi na statement ilikuwa sahihi na ndio maana Nssf waliweza kunifungulia madai , ila hivi jana ndio niliingia kwenye nssf portal kwenye account yangu nduo nikakuta Salio zero na Claim status imeandikwa PENDING
 
Hapo maana yake mchakato wa kulipa umeanza. Very soon utapokea cheki Yako. Ni lazima zitoke kwenye akaunti yako ya michango ziingizwe katika cash out.
Vuta subra Kidogo pesa Yako inatoka
 
Shukrani sana mkuu je na hapo wanalipa amount yote au?
 
Sasa mzee unakuja kuuliza huku JF imejaa watu wamechafukwa roho watu wana huzuni makasiriko unadhan utapata majibu..?
Nenda ofisi za NSSF yoyote ile watakueleza vzuri kwanin imekuwa hvyo... Ofisi pekee unayotakiwa kuogopa kwenda ni ikulu, hizi nyingine unaenda tu muda wowote ukijisikia na utasikilizwa.
 
Wakuu habarini!.

Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
kesho unapata pesa yako
 
ha
Hapo maana yake mchakato wa kulipa umeanza. Very soon utapokea cheki Yako. Ni lazima zitoke kwenye akaunti yako ya michango ziingizwe katika cash out.
Vuta subra Kidogo pesa Yako inatoka
Hawatoi check wanamwingizia moja kwa moja
 
Wakuu habarini!.

Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
Mwenetu mbona kimya tena uzi umeukimbia, vipi tayari mzigo ulishaingia kwenye account maana nami nina same case naomba mrejesho tafadhali
 
Silence m

Silence means 😄 😄
 
Back
Top Bottom