Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu imani/dini ya Rastafarians

Well said Rasta,imani safi kuweza kuishuhudia katika huu ulimwengu. sema inapigwa vita sana na mabepari. kwa kuwa ipo sana kinyume na matakwa yao. Rastafari imejikita katka kumkomboa binadamu asiwe mtumwa wa fikra.kwa hiyo kuna uongo mwingi sana wanazushiwa Rasta waonekane ni watu wa ajabu. Usipokuwa mfuatiliaji na mdadisi unarishwa tango pori. Jah Rastafaray Haille Sellasie High
 
1. Ras tunamwamini Mungu huyo huyo unayemwita Yahw au Allah sisi tunamwita Jah. Call whatever name it can be but is same God.

2. Hatuli nyama kwa sababu haikuwa makusudio ya Mungu mwanadamu kula nyama ya viumbe wengine. Rejea Kitabu cha Mwano sura ya 1. Uumbaji wa Mungu alituasa tule mimea na matunda pekee.
3. Kitabu cha Rastaman ni muunganiko wa mafunzo na masimulizi kuhusu Ukuu w Mungu kutoka Bibilia, Qu'ran na Uyahudi

4. Rastaman ni Uzao mtakatifu wa kishujaa uliobaki duniani unaopigania Haki na Amani na Upendo kama Mungu alivyo upendo.

Tumetokana na chronology ya kifalme kwa Nabii Suleiman hadi kufikia Uzao wa Makomen Rastafari hadi kwa Haile Selasie wa Ethiopia....rejea Family Tree ya Haile Selassie I.

Kuhusu kuvuta Bangi kama ilivyo zawadi ya Mimea tuliyopewa na Mungu hakuna ulazima. Tunasisitiza kuvuta Bangi kuliko kunywa Pombe, kuvuta sigara, kubugia unga heroon na cocaine. Vyote vina madhara makubwa kwa binadamu hekalu la Mungu.

Kwa upande mwingine Bangi inatibu Kansa, maumivu makali na pia inatibu Pumu.
Hujiulizi kwamba pamona na mmea wa bangi kupigwa vita dunia nzima bado una mea tu? Ukiukata hapa una mea pale.
 

Ingia google utapata maelezo
 
Ni mfumo tu wa mtu kupenda kuwa na special identity duniani nothing much,ni jamii ambayo thoughts zao wameamua kujifariji nazo duniani,its just an Ego buying time.
 
Niliwahi kusikia kwamba jamaa hawali Nyama kwa sababu,Mnyama anapochinjwa anakua na hasira na huacha mitetemo katika mwili na hiyo mitetemo na hasira humfanya mtu kua katili Sana Kama huamini fanya research kwa jamii za wafugaji!
 
Aisee
 
Watagwan man
Maswali yako ni mengi!?
lkn nitakujibu nikipata wasaa. Wacha nimalize hizi mbilinge mbilinge za leo
 
Umejitahidi.
 
Una akili nyingi sana japo kuna wakati ukizima wifi unaizima haswaa.
 
Ingia youtube tafuta interview aliyofanya Baruan Muhuza na Ras Inno utajifunza mengi kuhusu Rastafarian maana ameelezea mambo mengi sana kuhusu imani yao. Watagwan
 
Selassie I man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…