Kama kichwa cha kinavyojieleza,
Kwa anayejua machimbo ya uhakika na ya bei nafuu kwa hapa Daressalaam ya bidhaa hizi nahitaji kwa jumla;
1. Adaptor original za laptop pamoja na power cable zake original
2. Hard Disk Drive na External Hard Drive
3. Flash disk na Memory cards original
4. Cheni na mikufu ya akina dada ambayo haipauki kwa haraka
5. Battery za simu both smart na za batani
6. Thermal Cooling Compound, inayotumika kupaka katika processor na graphics card
Najua humu kuna wazoefu wa hizi bidhaa, hivyo naomba mnipe mwongozo pia wa kampuni gani inatoa bidhaa nzuri katika kila category ya items hapo juu.
Mbarikiwe sana.