Wakuu Naomba Kufahamishwa Machimbo Ya Bei Nafuu Ya Bidhaa Hizi Na Bei Zake

kamarah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
1,224
Reaction score
2,443
Kama kichwa cha kinavyojieleza,
Kwa anayejua machimbo ya uhakika na ya bei nafuu kwa hapa Daressalaam ya bidhaa hizi nahitaji kwa jumla;

1. Adaptor original za laptop pamoja na power cable zake original
2. Hard Disk Drive na External Hard Drive
3. Flash disk na Memory cards original
4. Cheni na mikufu ya akina dada ambayo haipauki kwa haraka
5. Battery za simu both smart na za batani
6. Thermal Cooling Compound, inayotumika kupaka katika processor na graphics card


Najua humu kuna wazoefu wa hizi bidhaa, hivyo naomba mnipe mwongozo pia wa kampuni gani inatoa bidhaa nzuri katika kila category ya items hapo juu.

Mbarikiwe sana.
 
Mkuu niwekee bei ya hizo zote, na size ianzie 250 gb mpaka 1TB
 
Hizo bidhaa za Flash, adapters, memory cards, begi za Laptop nk. Vifaa OG vinapatikana POWER COMPUTERS duka lao lipo SABODO Parcade kule posta. Ukifika kama ni mara yako ya kwanza sharti uandishe jina la Duka lako/kampuni na detail zako then from there wewe utatambulika kama mnunuzi wa Jumla. Sharti ununue product kuanzia 3 na kuendelea lkn bei zipo chiiiiiin. Hasa printers, laptop nk lile ndio chimbo la Tanzania kwa bei cheee. Samahan wachuuuzi kwa kuuza ramani ya vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…