Wakuu naomba kwa mtu anaye jua kuhusu mikopo mavyuoni

Wakuu naomba kwa mtu anaye jua kuhusu mikopo mavyuoni

Ben bizzoh

Senior Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
121
Reaction score
5
Nlikua nataka kujua kama umesoma private o level na ukatoka na one saafi A level ukaenda private comb mfano EGM ukatoka na one tena eti kupata mkopo hapo chuo inawezekana? Au ina depend na kozi unayochukua ......ntashukuru kwa majibu yenu
 
wala usiwe na shaka mkopo anapata had mtu aliyesoma private school akatoka na dv3 25 then a'level tena atatoka na three mbaya mbaya..mkopo ni koz unayochukua pia na bahati ila kwa mbali sana
 
Nlikua nataka kujua kama umesoma private o level na ukatoka na one saafi A level ukaenda private comb mfano EGM ukatoka na one tena eti kupata mkopo hapo chuo inawezekana? Au ina depend na kozi unayochukua ......ntashukuru kwa majibu yenu

ukweli ni kwamba wanaangalia umesoma shule gani o level.,kama ni private kupata 100% kwako ni tatizo labda uwe unaenda kusoma MEDICINE pekee.

anglizo HESLB hawajalishi umepata division 1 wanachoangalia wao una sifa za kwenda chuo.

lastly bahati inahusika
 
Wala usiwe na shaka we fanya vizuri utapata tu mkopo, kuna muda huwa tunasema kufaulu ni tabia vivo hivyo hata mkopo ni zali tu maana kuna watu wamesoma private.zote wanapata mkopo wa maana kuliko waliosoma shule za serikali.
 
Back
Top Bottom