Wakuu naomba msaada na sitorudia tena

Wakuu naomba msaada na sitorudia tena

ndugu wananchi nashkur nimepona,ila kwa sindano na c vidonge ahsanten sana wote kwa mawazo yenu
 
Za asubuh jamani,mimi ni mvulana ambaye nina girlfrnd,tunapendana na kuaminiana na tumeshaduu kama mara 10 hivi.
Ila siku hiz za karibuni nilikua nikiduu naye sehem zangu za siri zinaniuma sana tena sanasana sehem ambayo mkojo unatokea na sasa hivi nipo home naenda chooni kukojoa kabla sijakojoa nimekuta kitu kama usaha katika tundu linalotoa mkojo.kwa kifupi naumwa ila sijui naumwa nini na nitumie dawa gani ili nipone,naomben msaada wenu jamani.
natanguliza shukrani.

kacheki kaswende na gonorhea haraka, yanatibika. na uende na huyo malaya mwenzio, la sivyo anaweza maliaza hadi kwa dingi yako. yanatibika hayo
 
Back
Top Bottom