Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,005
- 7,115
nashukuru sana ngoja nifuate dukani au kama unajua na bei yake itakua poa nitoke na pesa ya kutosha
tayari mkuu nishawahiHauko serious mkuu. Hadi bei utajiwe tena wahi chapu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti Kama hakufikisha miaka 18 basi hana akili na sheria inatambua hivyo hata kama aliridhia mwenyewe.Kwani huyo binti ni tahira au anaupungufu wa akili ? alikua anajua kua ana jamiiana na chochote kina wezekana yakiwepo mahonjwa na mimbapia ...sasa ni kwanini mumuone mkosaji ni kijana pekeee hapo hilo ni tendo la watu wawili dio mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli haina tatizo,ila bado ni mwanafunzi ulipaswa kufikiria hilo. Akipata ujauzito utajisikiaje? Au hujali kwasababu sio mtoto wako au mdogo wako?ana kumi na tisa
Kufukunyuliwa😂😂😂Binti Kama hakufikisha miaka 18 basi hana akili na sheria inatambua hivyo hata kama aliridhia mwenyewe.
Nawaombea mpate watoto wakike wafukunyuliwe wakiwa na miaka 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifukunyue baby [emoji28][emoji28][emoji28]Kufukunyuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo huwaga unasema baby naomba leo uje unifukunyuwe please
penyewe napajulikana kama mkono kupeleka tonge mdomoni tu
tayari mkuu nishawahi