Wakuu poleni na majukumu najua mnaendelea vizuri naomba kujua mara nyingi tumekuwa tukiona mtandaon umeme unazalishwa kwa motor zikiwa kwenye mzunguko na dynamo mara nyingi nimejaribu kufanya utafiti wangu wengine wamsema ni possible wengine wamekataa nimeshindwa kujua lipi jibu sahihi najua humu kuna wataaalamu wa masuala haya ya electricity naomba ufafanuzi zaid wakuu nitashukuru