Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
OkayHakuna tofauti tofauti ni application tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkayHakuna tofauti tofauti ni application tu
ndioUna utaalam wwte au taarifa au ushuhuda wwte kaka kuhusu hili jambo???
Dynamo ikizunguka inazalisha umeme.Kwani tofaut ya dainamo na motor ni nini?
Vyote vinazalisha umeme na vyote vinaweza kuzungusha kitu.Dynamo ikizunguka inazalisha umeme.
Moto ikizunguka inazalisha mechanical energy (kuzungusha kitu)
Wewe kweli ni mjinga.Vyote vinazalisha umeme na vyote vinaweza kuzungusha kitu.
Mota yoyote ukiizungusha inazalusha umeme
Mimi naongelea maisha ya uzoefu, zile nyaya za kwenye dainamo ukiziunganisha kwenye umeme dainamo inazunguka kama mota.Wewe kweli ni mjinga.
Motor inahitaji umeme iweze kufanya kazi. Bila umeme motor haifanyi kazi yake (ya kuzungusha kitu).
Dynamo inahitaji mechanical energy (kuzungushwa na taili la basikeli) kuweza kuzalisha umeme.
Zingatia hili:
- Bila umeme, motor haifanyi kazi.
- Bila mechanical energy, dynamo haifanyi kazi.
Pia zingatia:
- Motor haizalishi umeme, inazalisha mechanical energy.
- Dynamo inazalisha umeme (ikizungushwa)
Inawezekana mkuu… hata mi kuna mwaka nlishawishika kufanya ivo baada ya kuona video huko YOUTUBE ila nakachemka baada ya kuulizia huku mtaani bei ya ALTARNATOR ya kwenye gari nikaambiwa LAKI 3, ikabidi ntoke nduki.mara nyingi tumekuwa tukiona mtandaon umeme unazalishwa kwa motor zikiwa kwenye mzunguko na dynamo
Next part kwa ajili ya marekebisho kwa ambao hamjanielewa vizuri nilikuw nauliza umeme especially tunaweza kuita perpetual energy
Si ungekodi ukatest afu ukarudishaInawezekana mkuu… hata mi kuna mwaka nlishawishika kufanya ivo baada ya kuona video huko YOUTUBE ila nakachemka baada ya kuulizia huku mtaani bei ya ALTARNATOR ya kwenye gari nikaambiwa LAKI 3, ikabidi ntoke nduki.
Kaka naomb dm yako tuongee kdgMimi naongelea maisha ya uzoefu, zile nyaya za kwenye dainamo ukiziunganisha kwenye umeme dainamo inazunguka kama mota.
Vivyo hivyo mota nayo japo imetengenezwa kwaajili ya kusungushwa na umeme, ukiizungusha inazalisha umeme ambao unaweza kuujua kwa urahisi kupitia zile nyaya ambazo zimewekwa maalum kwaajili ya kupokea umeme.
Nimefanya majaribio kuvitendo kwenye motor mbalimbali na kwenye dainamo za baiskeli.
Kwenye hili sina elimu ya darasani lakini elimu ya mtaani nimeweza kuzalisha umeme kutoka kwenye mota....
Kafanye utafiti sipo hapa kubishana
Sikuwa na mawazo hayo ila nlipiga hesabu ni bora ninunue jenereta la tiger mambo mengine yaendelee.Si ungekodi ukatest afu ukarudisha
Same to me yan ni kitu napenda sana hii nikifanikisha bas mamb yanakuw vzrNimekuwa na vi idea ila uvivu mwingi sana, kila leo nasema kesho keshokutwa, ila navutika na hiki kitu.
Jamaa sijui huo umeme atazalishaje kama hajui hata maana ya motorWewe kweli ni mjinga.
Motor inahitaji umeme iweze kufanya kazi. Bila umeme motor haifanyi kazi yake (ya kuzungusha kitu).
Dynamo inahitaji mechanical energy (kuzungushwa na taili la basikeli) kuweza kuzalisha umeme.
Zingatia hili:
- Bila umeme, motor haifanyi kazi.
- Bila mechanical energy, dynamo haifanyi kazi.
Pia zingatia:
- Motor haizalishi umeme, inazalisha mechanical energy.
- Dynamo inazalisha umeme (ikizungushwa)