Mkubwa salamu kwako,
Kwanza hongera kwa kuitwa kwenye interview na hakikisha unakuwa na Confidence ya kutosha na kujiamini kwamba hiyo kazi ni yako.
Me sio A/cuntant ila ni HR hivyo naweza kukupa ushauri ya kwamba majukumu au duties ni swali moja ambalo unaweza kuulizwa ila kuna maswali mengi ya General qns , ila pia inategemea na sehemu uliyoitwa kila organization ina falsafa zake na taratibu zake tofauti na orgztn nyingine .
Maswali ya general ni pamoja na Historia yako, kwanini umeomba kazi hii,unajionaje katika miaka 3 ijayo,na mengine , nimesaidia kidogo nadhani mwengine ataongeza ,
bless mkubwa