Wakuu naomba msaada wa interview qns/duties za payroll accountant

Wakuu naomba msaada wa interview qns/duties za payroll accountant

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
Mwenye kujua kazi za payroll accountant na sample ya interview questions ya kazi hiyo naomba msaada. Kesho mchana nina fanya interview
 
Mwenye kujua kazi za payroll accountant na sample ya interview questions ya kazi hiyo naomba msaada. Kesho mchana nina fanya interview, na hicho kitengo cna ujunzi nacho.
 
1. Jiamini
2. Fahamu Double entry za mishahara,
3. P.A.Y.E ifahamu vizuri/SDL/+any other deductions
4. Data entry za misharara/recording
5. Verification of Payroll account
6. Nature of Payroll accounts.
All the best mhasibu!!!
 
Mmmm utapagawa maana kitengo kibaya unajuaa siri za mishahara wenzakoo....ok all the best ......angalia applic software za payroll ndio itakuwa baba na mama yako ....pia excel calc lazima uzijue sana
 
Mkubwa salamu kwako,
Kwanza hongera kwa kuitwa kwenye interview na hakikisha unakuwa na Confidence ya kutosha na kujiamini kwamba hiyo kazi ni yako.
Me sio A/cuntant ila ni HR hivyo naweza kukupa ushauri ya kwamba majukumu au duties ni swali moja ambalo unaweza kuulizwa ila kuna maswali mengi ya General qns , ila pia inategemea na sehemu uliyoitwa kila organization ina falsafa zake na taratibu zake tofauti na orgztn nyingine .
Maswali ya general ni pamoja na Historia yako, kwanini umeomba kazi hii,unajionaje katika miaka 3 ijayo,na mengine , nimesaidia kidogo nadhani mwengine ataongeza ,
bless mkubwa
 
thanks mkuu
 
asante sana, Mungu akubariki.
 
Mmmm utapagawa maana kitengo kibaya unajuaa siri za mishahara wenzakoo....ok all the best ......angalia applic software za payroll ndio itakuwa baba na mama yako ....pia excel calc lazima uzijue sana

thanks mkuu
 
Kila la heri mkuu!maswali yatakua kama ifuatavyo!
1.As a payroll accountant what is your duties and responsilities?hili swali huwa ni lile tangazo la kazi ambalo ulitumia ku apply hiyo kazi!wengi huwa tukisha apply kazi tunalitupa gazeti lenye tangazo husika!ni swali hilo jipange.
2.Ukiwa kama payroll accountant utasaidia vipi management?
3.Kama payroll accountant ni challenges zipi unategemea kukumbana nazo?

Pia wanaoenda kwenye interview huwa hawapendi kuuliza maswali!inabd na wewe uwatwange maswali mawili matatu usiondoke hivi hivi.
Kila la heri
 
Hongera kwanza kwa kuwa miongoni mwa wachache walioitwa kwenye usaili.Wengi wamekushauri vizuri ila uvae kama mhasibu usiache kuvaa tai iendane na shati na suruali yako.Ukiulizwa swali jibu kwa ufupi na kama huelewi chochote omba liulizwe tena ili upate muda wa kutafakari majibu.Usiwe mwoga kwani usaili ni kama maongezi mengine ya biashara ambapo bidhaa unayoiuza ni ujuzi wako.Mfanye mwajiriwa wako mtarajiwa ajue wewe ni mtu muhimu kwake na ni samani ambayo akiwa nayo atafanikiwa.Maswali yatatokana na job description or key responsibilities kwenye tangazo uliloombea kazi.Nakutakiwa mafanikio mema.
 
Back
Top Bottom