The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
Fanya dignosisi kwa KUTUMIA live data itasaidia kubaini tatizo au fanya umcheki jitu la miraba minneGari yangu automatic transmission, inapobadili gia ,unatokea mshituko flani hivi. Au unapoingiza gia ya kwanza lazima kishindo fulani kitokee. Naomba msaada tatizo ni nini?
ATF , ndio nini mkuu, naomba maelezoUmecheck km ATF ipo ya kutosha? Ulibadili lini mara ya mwisho?
Gearbox oil, hebu icheck. Usianze na vitu vya mbali.ATF , ndio nini mkuu, naomba maelezo