Wakuu naomba msaada wenu

Wakuu naomba msaada wenu

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,382
Reaction score
2,582
Gari yangu automatic transmission, inapobadili gia ,unatokea mshituko flani hivi. Au unapoingiza gia ya kwanza lazima kishindo fulani kitokee. Naomba msaada tatizo ni nini?
 
Umecheck km ATF ipo ya kutosha? Ulibadili lini mara ya mwisho?
 
Gari yangu automatic transmission, inapobadili gia ,unatokea mshituko flani hivi. Au unapoingiza gia ya kwanza lazima kishindo fulani kitokee. Naomba msaada tatizo ni nini?
Fanya dignosisi kwa KUTUMIA live data itasaidia kubaini tatizo au fanya umcheki jitu la miraba minne

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom