Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
 

Hiyo siyo sababu ya kuaga, hakuna mashindano hapa, wewe sema hisia zako, soma vinavyokuhusu tambaa mbele, like inakusaidia ninin wewe kilaza, una judge vipi kwamba uzi wako una maana? others will judge you, si wewe u judge tena
 
Watu mmekuwaje? Yaani MTU mzima unalilia comment na likes!!!! Vyuma vimekaza.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hiyo siyo sababu ya kuaga, hakuna mashindano hapa, wewe sema hisia zako, soma vinavyokuhusu tambaa mbele, like inakusaidia ninin wewe kilaza, una judge vipi kwamba uzi wako una maana? others will judge you, si wewe u judge tena
Ubarikiwe sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…