Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

JF ni kama sahani hata ukisema hupendi kuiona utashitukia msosi huo umeletwa kwenye sahani hivyo na wewe kila ukiiona simu ama Pc yako lazima uta-log in (vinginevyo badirisha password kwa kuchanganya namba kama 10 hivi alafu unaipoteza karatasi uliyochanganyia namba vinginevyo utarudi tu)
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Kama ukiandika pumba za uvccm na lumumba unategemea nini?????
 
Hahahah wehujapasoma hapa
KUNA WAPENZI HUMU HUMU WA MAELEWANO TUU ILI KUNOGESHA THREAD HASWA HASWA KWENY MU, HAMNA UHALISIA HAPA SO USIJE KUONA WATU WANACOMMENT NA KILIKE POST ZA WATU KAMA WANAJUANA VILE LAKIN HAMNA KITU, SO WE KOMAA TUU HAPA MBONA PAKUPOTEZEA MDA TUU
miami0101: Aminiaaa jomba
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
wenzako tushaona jambo hilo siku nyingi, tumeamua ku like na ku comment tu,mambo ya kuanzisha uzi tushaacha.
 
SIKUSHAURI kabisa uende huko kwingine.... SIKUSHAURI utoke JF, kuna maarifa mengi sana hapa.. Wala usikatishwe tamaa na kukosa pongezi... Komaa andika kila utakachoona kina tija kwenye jamii kuondoka JF ni sawa na kujikataa SIKUSHAURI tafadhali baki
 
Sidhani kama atatoka tena maana hadi sasa huu uzi wake ninavyoandika hii comment yangu wameuona watu 410 na hii comment yangu ni ya 57
 
Back
Top Bottom