Harald Dad
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 353
- 263
Siondoki kwenda kokote mzee bado nipo nipo, sanaaaaa.Usiondoke Mkuu tumekuzowea mambo madogo tu yatakwisha
π π π π π π bila ya mkwara humu autoki mkuuDuuuh leo umeosha nyota yako mbona wamecomment na kulike wengi saaana!!!; kumbe inawezekana naona umesitisha uamuzi wako wa kutoka JF
Sitoki tena mkuu nimeghairi tuko pamoja mwanzo mwenga.Usiondoke.kwanza mm humu ni mgeni wenyeji mkiondoka na wageni itakuwaje!
Atoki mtu hapa nakomaa mkuuMkuuuuu safarii njemaa tunakutakiaa safari njema huko uendako mkuu mimi sitoki ng'ooo labda nifukuzweee hakuna media napenda kama humu ndaniii utakosaa vitu vizurii kwa pple of greatthinker
Baba jeska naye yumo humuuu aakuona ujue na atafurahiii
Sasa buni mkwara mwingine mkuu leo wamekuja wenyewe lakin kama utapost tofauti na mkwara utadodaπ π π π π π bila ya mkwara humu autoki mkuu
π π π π π π mie wa hapa hapa mkuuKama shida yako ni likes na reply nenda kwa makapuku. kule hata ukiweka nukta unakula likes 10. Kuna raia kule wana mwaka au miaka miwili tu lakini kwa kwa points and trophies wanawafukuzia wakina Mshana jr wenye miaka dahali hapa na nguvu za ziada.
π π π π π π na nilishadoda mkuu, lkn sasa nyota inang'aa baada ya huu uzi.Sasa buni mkwara mwingine mkuu leo wamekuja wenyewe lakin kama utapost tofauti na mkwara utadoda
Mie shida yangu comments yako tu, ubarikiwe sana mkuuTatizo likes na comments? si uende fb huko kwa chawote
Naona like tayari umezipataKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
πππππ π π π π π bila ya mkwara humu autoki mkuu
TehTatizo wengi wanaaga lakini hawaondoki