Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Duuuh leo umeosha nyota yako mbona wamecomment na kulike wengi saaana!!!; kumbe inawezekana naona umesitisha uamuzi wako wa kutoka JF
 
Usiondoke.kwanza mm humu ni mgeni wenyeji mkiondoka na wageni itakuwaje!
 
Mkuuuuu safarii njemaa tunakutakiaa safari njema huko uendako mkuu mimi sitoki ng'ooo labda nifukuzweee hakuna media napenda kama humu ndaniii utakosaa vitu vizurii kwa pple of greatthinker

Baba jeska naye yumo humuuu aakuona ujue na atafurahiii
Atoki mtu hapa nakomaa mkuu
 
Kama shida yako ni likes na reply nenda kwa makapuku. kule hata ukiweka nukta unakula likes 10. Kuna raia kule wana mwaka au miaka miwili tu lakini kwa kwa points and trophies wanawafukuzia wakina Mshana jr wenye miaka dahali hapa na nguvu za ziada.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 mie wa hapa hapa mkuu
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Naona like tayari umezipata
Hongera! Sana mkuu
 
unatingisha kiberiti jombaa.!? kisa likes na comments!!

haya pokea likes na kula comments
 
Ni idadi ngapi ya like unaziitaji kwa kila thread yako unayoleta humu ili usiondoke mjomba??!
 
Pole ila ukitaka malikes ukwende kwenye uzi wa jembe wa kupeana like mkuu
 
Nimerudi tena kuwashukuru wale wote mlionipa like, na ku comments mungu awabariki sana wakuu
 
Back
Top Bottom