Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
-
- #541
Sawa mkuu ntazingatia, ushauri wako nimeupenda.waswahili wanasema tenda wema uende zako...
hii methali inamaan kubwa sana kaka na laiti ungeielew wala leo ucngeamua ayo maamuzi ulofikia leo. Unatoa andiko lako apa elimisha watu theb tembea ukisubiri shukran ndo mwisho utaona kila mtu anakubagua...
Wapi?Nenda salama
Umefurahi sasa? Maana uzi una comments za kutosha.Sawa mkuu ntazingatia, ushauri wako nimeupenda.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 pamoja mkuu.Umefurahi sasa? Maana uzi una comments za kutosha.
Hebu tema mate tuwachape.
Nafarijika moyoni tu mkuu.Kwani ukipata like 1 ni shilingi ngapi?@Abassfarudume
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Uamuzi ulioufikia hauna afya hata kidogo. Kumbuka katika darasa wanafunzi wote hawalingani viwango vya uelewa, kuna wenye kuelewa darasani papo hapo na kuna wanaoelewa kuputia masomo ya muda wa ziada (tuition) na hata kupenda masomo pia wanatofautiana. Kuna wanaopenda hisabati na wengine wanapenda somo la uraia lakini wote wako darasa moja.Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Ubarikiwe sana mkuu, zoezi la kuleft alipo tena, nimelihailisha maana si kwa mahaba haya mlionipa wakuu mungu awabariki sana.Uamuzi ulioufikia hauna afya hata kidogo. Kumbuka katika darasa wanafunzi wote hawalingani viwango vya uelewa, kuna wenye kuelewa darasani papo hapo na kuna wanaoelewa kuputia masomo ya muda wa ziada (tuition) na hata kupenda masomo pia wanatofautiana. Kuna wanaopenda hisabati na wengine wanapenda somo la uraia lakini wote wako darasa moja.
Nataka nikujulishe kuwa hali uliyoiona hapa JF, ipo pia mitandao mingine. Mfano fb ukipost mada yenye mashiko kwa jamii unaweza usipate komenti wala like, lakini mtu anayepost picha yake tu au kusema leo ni siku yake ya kuzaliwa, basi kimenti utaziona za kumwaga.
Nilichojifunza mimi kwa upande wangu ni kwamba, kwa sehemu kubwa watanzania ni wavivu wa kusoma hivyo wanataka vitu visivyowachosha.
Nakushauri endelea kuwepo na pamoja na kupost ipo siku watakuelewa na upepo utabadilika.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Haya pokea like hiyo.Nafarijika moyoni tu mkuu.
Sitoki tena mkuu, nimehairisha mungu akubariki sana!
Na wewe kula like hiyo mkuu.Haya pokea like hiyo.
Shida comments sio haya tayari time comments usiondoke mkuuKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Tutabanana hapa hapa mkuu.Kwa coments na likes izi utoke uende wapi,umeshakuza jina