Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

JF ni kama sahani hata ukisema hupendi kuiona utashitukia msosi huo umeletwa kwenye sahani hivyo na wewe kila ukiiona simu ama Pc yako lazima uta-log in (vinginevyo badirisha password kwa kuchanganya namba kama 10 hivi alafu unaipoteza karatasi uliyochanganyia namba vinginevyo utarudi tu)
 
Tatizo la @Ababasfarudume ni kuwa huwa hatoi likes kwa watu wengine, pia yeye huwa mzito sana kukoment kwenye nyuzi zingine, mara nyingi utamuona kwenye nyuzi zake tu. Alipokuwa anaingi alikua anapost hadi nyuzi zaidi ya tano kwa siku, halafu nyuzi zenyewe magumashi tu (utakuta kapiga picha watu wanakula kwenye hitima). Sasa unatarajia watu wakoment nini?

Hata hivyo JF ndio ilivyo, ina changamoto zake na miongoni mwake ndio hizi. Wana JF wana makundi, wengine mwenzao hata akianzisha uzi uso na maana watacomment tu. Mkuu abbas farudume vumilia tu, mwisho wa siku utatambulika rasmi humu. Tena huu uzi ulioweka ni kiki tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…