Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
-
- #601
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wapi?Wasalimie
Raha sana humu, atoki mtu.Jf ina mambo
R.I.P haina haja ya kuaga kwa kuwa hata kuingia kwako hukuomba ruhusa ya kuingia!Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Sitoki tena mkuu, safari imehairishwa.Hata usingeweka angalizo,ungeacha wapovuke tu meanwhile we utakuwa ushasepa Jf. Pole tho
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Pitia comnents mkuu, nimeshahilisha kutoka, sio unakulupuka tu kama umekumbwa na tumbo, la kuharisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]R.I.P haina haja ya kuaga kwa kuwa hata kuingia kwako hukuomba ruhusa ya kuingia!
Hahaha kweli JF tamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wakaanga sumu utawajua tu.
Uendako[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wapi?
Nakomaa hapa hapa mkulu.Uendako
Si unaona ulivyo na IQ kubwa? PHD yako ya ujinga ulipatia chuo gani?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Pitia comnents mkuu, nimeshahilisha kutoka, sio unakulupuka tu kama umekumbwa na tumbo, la kuharisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
Ata mi nilijua huendi kokoteNakomaa hapa hapa mkulu.
Kuna watu wengine wana roho mbaya kweli, wameng'ang'ana wasalimie, wasalimie uendako Duuuh! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha kweli JF tamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiongozi wangu na mwalimu wangu mkuu, wa ujinga si wewe. Kwaiyo hapa leo upo na mwanafunzi wako.Si unaona ulivyo na IQ kubwa? PHD yako ya ujinga ulipatia chuo gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...... Hata picha uoni mkuu.Kwani humu wasap?
Jf kutamu weweSitoki tena mkuu, safari imehairishwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nilikuwa natafuta kiki mkuu, tayari nishapata.Mkuu humu kuna Upendeleo vipi wakati wewe ni expert member