Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
R.I.P haina haja ya kuaga kwa kuwa hata kuingia kwako hukuomba ruhusa ya kuingia!
 
Baki bana c umeona ulivopata comments na likes za kutosha ila cha msingi ujielewe tu jf umefata nini basiii hizo likes wala comments hazitokusumbua.
 
R.I.P haina haja ya kuaga kwa kuwa hata kuingia kwako hukuomba ruhusa ya kuingia!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Pitia comnents mkuu, nimeshahilisha kutoka, sio unakulupuka tu kama umekumbwa na tumbo, la kuharisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
 
7336a4c41c65222b0711477d3e1eaa82.jpg
Ngoja nile popcon zangu kwanza, karibuni sana wakuu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Pitia comnents mkuu, nimeshahilisha kutoka, sio unakulupuka tu kama umekumbwa na tumbo, la kuharisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
Si unaona ulivyo na IQ kubwa? PHD yako ya ujinga ulipatia chuo gani?
 
Jamaa anatafuta haki ya kuthaminiwa na kutambulika ktk Jamii inayomzunguka(jamii forum)

Hili ni Hitaji la kila kiumbee,msimkosoe
 
Back
Top Bottom