Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
-
- #641
Pamoja sana wakuu, mwenyezi mungu awabariki mno.Tayari tumeshakomenti, ila usijali inawezekana mtu asikoment lakini amesoma na kuelewa
Hebu anza kutoa like kwa wachangiaji, itawahamasisha sana. kwenye profile yako ni kama vile huwa huoni kitufe cha likes kilipoOngeza zingine mkuu sijatosheka bado [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Sawa mkuu like zinaendelea ya kwako nishakupa mkuu wangu [emoji120] [emoji106]Hebu anza kutoa like kwa wachangiaji, itawahamasisha sana. kwenye profile yako ni kama vile huwa huoni kitufe cha likes kilipo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Suma langa: Unacheka nn?Haaaaa
Watu wamevurugwa huku mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Coment za watu
Na wewe pokea like mkuru wangu.Kula like kwa kutoa jambo zito!
Dah... "Shule mlienda kusomea ujinga?'' - Faiza foxiKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine hauna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama hawauoni au mtu aki comments hausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu haufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
π π π π π π π πDah... "Shule mlienda kusomea ujinga?'' - Faiza foxi
Pamoja kiongozi wangu.Sawa nimeona....