Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

92417136f8990f716e8a8b29d20fb0a7.jpg
0899a5d02caa493650d68a01ed3f7457.jpg
Maxence melo ndani ya itv wakati huu ndani ya meza huru kwenye, mada ya leo wakijadili sheria za mitaneao ya kijamii je zinachukuliwa.
 
Ongeza zingine mkuu sijatosheka bado [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Hebu anza kutoa like kwa wachangiaji, itawahamasisha sana. kwenye profile yako ni kama vile huwa huoni kitufe cha likes kilipo
 
Hebu anza kutoa like kwa wachangiaji, itawahamasisha sana. kwenye profile yako ni kama vile huwa huoni kitufe cha likes kilipo
Sawa mkuu like zinaendelea ya kwako nishakupa mkuu wangu [emoji120] [emoji106]
 
Kila la kheri na baraka tele muwe, na usiku mwema na njozi njema wakuu.
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine hauna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama hawauoni au mtu aki comments hausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu haufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Dah... "Shule mlienda kusomea ujinga?'' - Faiza foxi
 
Back
Top Bottom