Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Ngoja ni relax na mpenzi wangu kama like na comments nimeshazipata tena za kumwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mkuu usiondoke bana, utapunguza idadi ya wachangiaji kwenye nyuzi zetu pendwa, hawa member wapya wengi bado
 
Dawa ninayo
Waoooooooooo!
naomba uniambie hiyo dawa kwenye ule uzi wangu maana hapa Abassfarudume atatumind kwenye uzi, yeye anataka LIKES na COMMENTS kwa wingi.
Nakushukuru sana in advance sasa naamini tatizo langu limekwisha.
Twende kazi kwenye "siledi yangu" uniambie dawa Nokia83
 
Kweeeendaaaaa na hata kuchungulia tunakublock ngoja niongee na moderator. Unatishia kunya chooni wakati ndio mahala pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…