Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
- #101
Muache aongeze siku za kuishi dunianiNahuja cheko lako
Mimi hoi taaban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache aongeze siku za kuishi dunianiNahuja cheko lako
Mimi hoi taaban
mmmmmmhh! wee moses, cheko tuuu, hahahahha sawa bwanaNahuja cheko lako
Mimi hoi taaban
Kwa uzi huu kiu yako itaishaKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Nimeipenda aina yako ya kusaka koment na likes za jfKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Pamoja sana kiongoziHahahaha ulijoin hapa kwa ajili ya comments za watu na Likes? Nimekua hapa since 2008, Karibu sana
Anaetoka humu karogwa huyo mkuuKasema ameahirisha mpango wa kutoka atabakia tu, hahahahahah
Chukua like yangu[emoji106]Nimehairisha mkuu humu kutamu sana!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] Ahsante sana mkuuNimeipenda aina yako ya kusaka koment na likes za jf
Umesahau mkuu
Likes na koment nyingi zinapatikana fb na insta aseee, humu ujipime kiwango chako na namna ya kuwasilisha nyuzi zako, kwani inakubidi uwe mbunifu na ujue walioko humu ni akina nani na wanapenda nini??
Umeanza kukuwa sasa, na mchezo wa jf unaohitaji kuafikirisha watu umeanza kuujua, rudi uone una komenti ngapi mpaka sasa na likes ngapi?
Japo jf mimi naonaga mwisho ni 5 tuu sijui kwa wengine asee[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ukipenda tangulia mbele za dunia ya ukimya, lakini humu fulu kelele na kila kelele humu ina maana yake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] Ahsante sana mkuuNimeipenda aina yako ya kusaka koment na likes za jf
Umesahau mkuu
Likes na koment nyingi zinapatikana fb na insta aseee, humu ujipime kiwango chako na namna ya kuwasilisha nyuzi zako, kwani inakubidi uwe mbunifu na ujue walioko humu ni akina nani na wanapenda nini??
Umeanza kukuwa sasa, na mchezo wa jf unaohitaji kuafikirisha watu umeanza kuujua, rudi uone una komenti ngapi mpaka sasa na likes ngapi?
Japo jf mimi naonaga mwisho ni 5 tuu sijui kwa wengine asee[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ukipenda tangulia mbele za dunia ya ukimya, lakini humu fulu kelele na kila kelele humu ina maana yake
Hii kiki hamorapa akasomeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] Ahsante sana mkuu
Basi sawaKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Mpaka hapa dukuduku langu na kiu imeisha mkuu labda ukiona hivyo kuna lingine au nina Gubu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa uzi huu kiu yako itaisha
hahahaahaah, bado. Usiku ndio yanawasha kwa sasa niko "gado" hahahaha
Mkuu nadhani kuwepo kwetu hapa JF si kupata likes.Nia ni kuelimishana.Kwani ukipata likes unapata faida gani,mbona hamna.Hata hivyo JF ya leo, sio ya zamani ndugu yangu.Ufahamu wa vijana wetu wengi waliomo humu leo ni mdogo sana katika mambo mengi,so they need help.Ni kweli kwa mfano kwamba ukileta a professional au thread yenye mantiki, mara nyingi hawatachangia sana.Wao wanapenda zaidi vitu vilivyokaa kimtaani taani hivi,things which they can associate with in their daily life.So don't give up, kama nia yako ni kuelimisha,unless nia yako as it seems, ni likes.Hata kama hawakusoma wengi na kukupa likes,those who matter will have read it.Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Kabisa inaonekana ni mcheshi sanammmmmmhh! wee moses, cheko tuuu, hahahahha sawa bwana
chuchu na juu yake kidogoYanawasha sehem gani haswa?