Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
duh kumbe bado wajinga wapo Bongo! unataka like ya nini kama unaandika pumba
 
e00c54951aa8a042fe282780e86bd3bf.jpg
Angalizo mtu akileta ukorofi humu namuendea kwq mshana jr: amshushe busha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
duh kumbe bado wajinga wapo Bongo! unataka like ya nini kama unaandika pumba
Wajinga tuko wengi mkuu, kwa sababu nielewavyo mie pumba ziku kwenye mahindi peke ake, hila ubarikiwe sana shida yangu kubwq Comments yako mkuu.
 
Kuna kama ka commUpendeleo cha kuents na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Abbsfarudume wewe mgeni kwanza, pili uandishi wako haujawa sawa. Mfano ka upendeleo cha, halafu unasema auna badala ya hauna.
Mimi si Faizafox lakinikusema kweli kama unataka watu wakupe likes kama ulizopewa hapo inabidi uandike kimantiki na utumie lugha sanifu kidogo. Thanks.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Dada Faizafox: mwenyezi mungu amjaalie. Naona mwalimu nzuri sana mkuu.
 
Back
Top Bottom