Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

Mimi NIPO Area A mkuu mtumba napajua nipe muongozo kuna biashara gani mkuu
Area A kuna mizigo inauza utelezi kinoma!! Chukua mageto kama matano i.e vyumba vitano, ingia mida ya night anga zao liunge limoja then lipe idea yako kuwa kuna vyumba unapangisha hasa kwa wadada wenye kazi kama yake. Kama umechukua kwa 40k per month we mwambie ni 50k. 40k×5rooms×4months =800k
Subiri laki 2 kila mwezi as faida
 
Duh 😁
 
Dah jamaa kwamba awe dalali wa malajah 🤣🤣
 
Anzisha biashara ya kukopesha kwa riba.

laki nane hukosi faida 160,000 kwa wiki 2

zingatia:
Andikishana ofisi ya serikali ya mtaa

2. chukua kitu chenye thamani mara 2 ya mkopo weka ndani
 
Faida kwa mwez 50k
50k×5rooms= 250k
40k×5rooms=200k
Hku Dar chumba n 5k kwa siku
30days ×5K = 150k kwa mwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…