Wakuu naomba ushauri wa kununua used Toyota Land Cruser

Wakuu naomba ushauri wa kununua used Toyota Land Cruser

Papatu-Papatu

Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
33
Reaction score
232
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.

Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.

Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
 
Tafuta landcruiser plado Tx, utajutia uwezo ni ule ule ila unywaji wa mafuta wa prado tx ni mzuri ukipata ya Disiel
 
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND .
Kama budget yako ni ndogo jifunze kiundani kuhusu haya magari na nunua used Tanzania 100-200 series.

Kama unaweza kutumia 140m-200m nenda pale Toyota ya Posta muulizie Jaredi vuta LX V8 brand new (Iwe Double Cabin, Troop Carrier au 5 Seater) utanishukuru.Huu ushauri ninakupa kama unahitaji gari ya kudumu na kutokusumbua. LX ni ngumu sana kumkuta mtu anauza used Tanzania. Maana zinadumu sana katika game.
 
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.

Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.

Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
Mileage 100,000 nyingi sana
 
Back
Top Bottom