Papatu-Papatu
Member
- Mar 19, 2024
- 33
- 232
Kama budget yako ni ndogo jifunze kiundani kuhusu haya magari na nunua used Tanzania 100-200 series.NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND .
Nashukuru mkuu asanteKama budget yako ni ndogo jifunze kiundani kuhusu haya magari na nunua used Tanzania 100-200 series. Kama unaweza kutumia 140m-200m nenda pale Toyota ya P.
Mileage 100,000 nyingi sanaNAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.
Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.