Wakuu naomba ushauri wenu juu ya hili gari

Wakuu naomba ushauri wenu juu ya hili gari

Billion Dolar

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
1,292
Reaction score
2,953
Kuna mshkaji wangu anauza gari mitsubish pajero kama hili. Naitaka kwa 3m. Nimeuliza mafundi nikaambiwa inaingia engine ya hiace . Maana engine za pajero pasua kichwa.

Kama kuna mtu anaelewa vizuri hebu mnipatie option maana nataka niichukue nibadilishe engine. Ndani gari bado nzuri sana na ac ni nzima.

IMG-20201220-WA0054.jpg
 
Wataalamu mnaitajika huku na mim nisikie neno lenu la uponyaji
 
Mmmhhh sijui, kwanini unaharaka sana ya kuwa na gari, kwanini ununue gari bovu tena likiwa garage.
 
ACHANA NALO MZEE

Maana gharama utakazo ingia hapo top inaweza fika Mil 6-7 sasa si bora ununue gari la Mil 7.
 
Dah mkubwa kama unataka gari ya juu jichange ununue, sio ununue y kupak nyumbani
 
Hiyo ndo gari kwenye picha boss? Huna mambo muhimu ya kufanya zaidi ya kukimbizana na mafundi na spear?.

Labda kama unapapenda garadge au ndo kazini kwako kinyume na hapo unanunua stress kwa m3.
 
Back
Top Bottom