Wakuu naombeni msaada, sijui ni mizimu ya ukoo inanisumbua, Ushauri wenu ni muhimu sana

Wakuu naombeni msaada, sijui ni mizimu ya ukoo inanisumbua, Ushauri wenu ni muhimu sana

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
306
Reaction score
706
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu

Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na kusimama alafu nikishajitambua narudi kulala.

Nafanya mambo ili hayana matunda wakuu sio kwa ya hali ya uchumi wala ni basi nagubikwa na visanga mfululizo vya kuniabgusha.

mama yangu ni mgonjwa wa joints, mdogo wangu aliwehuka alipokuwa chuo.

Mama amesha sali sana na kulia nimeshali sanaaa ila hatma yetu iko pale pale ni mateso juu ya mateso

Napitia wakati mgumu kwa maana ukata unaniumiza sana na wala ukiniona sifananii kabisa na ukataa huu

Nina degree nilitafutaga kazi zikawa zinanipita kimahasira, nilijachanganya kufanya vishuguru ila ni majanga huwa yanafatia.

Ukikaa na mimi niko very smart kichwni, mbunifu lakini nashindwa kupiga hatua ingawa niko motivated
 
Amka fanya sala kwa moyo wako wote kuanzia saa 8 au saa 9 usiku. Ndio muda wa waharibifu wa kiroho. Paulo na Sila waiomba usiku wa manane minyororo na milamgo ya gereza ikafunguka. Mungu ni mwaminifu atakutendea mkuu
 
Ingia kwenye maombi ya rehema ya muda mrefu hata kama ni miezi mitatu (sio lazima kufunga) , omba ile rehema ya ndani kabisa, kuna vitu Mungu ataanza kukuonyesha na utashangaa kuna vitu vinafunguka. I am speaking from experience. Kuna mambo hayafunguki hata ukienda kuombewa wapi, yanahitaji rehema ya Mungu tu
 
Ni swali personal kidogo ila nitakuuliza ila majibu jijibu mwenyewe kiongozi.

1. Uhusiano kati yako na baba yako upoje?
2. Huwa una desturi ya kwenda kwenu kwa maana ya ilipo asili yako?
3. Kama baba yako hayupo hai una desturi ya kutembelea kaburi lake?, huwa unaongea au kufanya nini unapolitembelea?

Mkuu chakukushauri ni jenga uhusiano mwema na ilipo asili yako. Huko nyumba za ibada nenda lakini ili ufanikiwe jenga sanamahusiano memana ilipo asili yako.

Hili swala pana ila mafanikio ya kiutajiri yanauhusiano wa moja kwa moja na mahusiano mema na ilipo asili yako, ivyo ivyo kwa umasikini na mahangaiko ya kimaisha.

Kwenye dini huko utapata tu ahueni za kisaikolojia naamani ya moyo ila utajiri na mafanikio yako yapo kwenu huko Mkuu. Hili ni lazima kulifahamu.

Hakuna mafuta, sadaka ya hela, zaka wala michango ya kanisa/msikiti yanayoleta utajiri au mafanikio. Hivyo vinakupa tu amani na furaha ya moyo.
 
Homage to the Three Jewels.

namo mañjuśriye

| 8 5 6 7 tadyathā | oṁ araje viraje | śuddhe viśuddhe | śodhani viśodhani | śodhaya viśodhaya | amale vimale | jayavati ru ru cale | hūṁ hūṁ hūṁ | phaṭ phaṭ phaṭ svāhā .

Homage to the ever-youthful Mañjuśrī. [The dhāraṇī] is: “Oṁ, immaculate, untainted, pure, utterly pure, purifying one, making perfectly pure! Do purify, make perfectly pure! O stainless, utterly stainless, and victorious one who moves with the roaring sounds ru ru! Hūṁ hūṁ hūṁ, phaṭ phaṭ phaṭ svāhā!”

Heshima kwa Mañjuśrī anayeendelea kuwa kijana.

[Dhāraṇī] ni: “Oṁ, safi, asiye na doa, msafi, msafi kabisa, mwenye kutakasa, anayefanya msafi kabisa! Jitakase, fanya usafi kabisa! Ewe mtu asiye na chaa, asiye na chaa kabisa, na mshindi anayesogea kwa sauti za kunguruma ru ru! Hūṁ hūṁ hūṁ, phaṭ phaṭ phaṭ svāhā!”

Those who memorize this will become intelligent within one month. Their voice will be melodious. Their appearance will be beautiful. After a single reading they will turn their back on cyclic existence for a thousand eons. By merely holding it in their hands they will recall former lives. After a hundred thousand recitations they will become erudite. After two hundred thousand recitations they will become vidyādharas. After three hundred thousand recitations they will behold the face of Mañjuśrī.

If one who has committed the five misdeeds with immediate retribution does not thus succeed, then may I myself become guilty of committing the five misdeeds with immediate retribution and of deceiving the blessed buddhas

. This concludes “The Noble Lord Mañjuśrī’s Dḥāraṇī for Increasing Insight and Intelligence
 
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu

Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na kusimama alafu nikishajitambua narudi kulala.

Nafanya mambo ili hayana matunda wakuu sio kwa ya hali ya uchumi wala ni basi nagubikwa na visanga mfululizo vya kuniabgusha.

mama yangu ni mgonjwa wa joints, mdogo wangu aliwehuka alipokuwa chuo.

Mama amesha sali sana na kulia nimeshali sanaaa ila hatma yetu iko pale pale ni mateso juu ya mateso

Napitia wakati mgumu kwa maana ukata unaniumiza sana na wala ukiniona sifananii kabisa na ukataa huu

Nina degree nilitafutaga kazi zikawa zinanipita kimahasira, nilijachanganya kufanya vishuguru ila ni majanga huwa yanafatia.

Ukikaa na mimi niko very smart kichwni, mbunifu lakini nashindwa kupiga hatua ingawa niko motivated
Nenda kwa mganga.
 
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume watakusaidia
 
Ukiona unasimama au unafanya jambo lolote kimwili huku roho ikiwa mbali nawewe hapo maana yake ni kwamba roho yako ni dhaifu kuliko mwili.
Hapo dawa ni kujaa Roho wa Mungu then kujiimarisha kwa maombi na mafungo.
Roho inambidi iwe strong kuliko mwili na nafsi.
 
Back
Top Bottom