Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu
Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na kusimama alafu nikishajitambua narudi kulala.
Nafanya mambo ili hayana matunda wakuu sio kwa ya hali ya uchumi wala ni basi nagubikwa na visanga mfululizo vya kuniabgusha.
mama yangu ni mgonjwa wa joints, mdogo wangu aliwehuka alipokuwa chuo.
Mama amesha sali sana na kulia nimeshali sanaaa ila hatma yetu iko pale pale ni mateso juu ya mateso
Napitia wakati mgumu kwa maana ukata unaniumiza sana na wala ukiniona sifananii kabisa na ukataa huu
Nina degree nilitafutaga kazi zikawa zinanipita kimahasira, nilijachanganya kufanya vishuguru ila ni majanga huwa yanafatia.
Ukikaa na mimi niko very smart kichwni, mbunifu lakini nashindwa kupiga hatua ingawa niko motivated