Habari zenu wakuu.
Mimi ni muajiriwa wa Serikali, siku za hivi karibuni nimebahatika kupata kazi shirika la umoja wa mataifa UN kwa hapa nchini na mshahara na marupurupu yake ni zaidi ya mara 5 wa ule wangu wa serikalini, pamoja na kulipiwa nyumba ya kukaaa.
Lakini kitengo nilichoajiriwa kinafanya kazi 24/7hrs, 365 days na hapa watu wanaingia kwa muda 8hrs kwa kila shift kwa siku.
Kwa hali ya kiuchumi ilivo nimeona sina haja ya kuacha kazi kwa Serikali, sasa kwa vile serikalini natoka saa 9 unusu nikitoka naingia huku kwenye kazi yangu mpya napiga mpaka saa4 naenda kupumzika, kwa hili halina shida kabisa kwangu, sasa kuna suala ambalo bado sijalielewa vizuri..
Kwa sasa watumishi wote wa serikali michango yetu inaenda PSSSF na huku nitapelekewa NSSF hizi zote ni taasisi za mafao za umma yawezekana wakawa wanashare baadhi ya taarifa. Hii haitaniletea shida wakati wa kuchukua mafao yangu, kwa kuonekana nilikuwa nachangia kotekote? ambapo wanaweza kuhisi nilikuwa nawaibia serikali mda wao kwenda kufanya kazi mahala pengine.
Naombeni mawazo yenu wakuu, nisije kufanya kazi miaka kibao nikaambulia patupu na serikali ya sasa na aina ya maamuzi yatolewayo yamenitia hofu kidogo maana wanaweza hata sema ulikuwa unaiba mda wa serikali ili ukafanye kazi kwingine ili wahalalishe unyonyaji wao.
Karibuni wakuu