Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mgonjwa hapa kwangu

Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mgonjwa hapa kwangu

Bushmamy waambie hao masai tuwasiliane. Huyo mgonjwa arudishwe hospitali akapate dawa ya kutuliza hizo severe attacks otherwise itakuja imbane azime mazima kabisaa!

Na inategemea na umri wa huyo mgonjwa kama yupo aged sana na ugonjwa anao kwa muda mrefu ni hatari sana.
Atumie inhaler asitumie salbutamol ndo mbaya zaidi.

Pumu ni ugonjwa mbaya na hatari sana hasa mgonjwa akiwa mtu mzima dying is a matter of few seconds
Waachane na waganga matapeli.

Binafsi nilikuwa mgonjwa wa asthma tangu utotoni mpaka nikiwa 30s ila nilipata msaada wa tiba ndani ya siku moja tu nikapona tokea 2012 mpaka leo 2020 sijapata mashambulizi tena.

Wazazi wangu na mimi pia tuliliwa pesa nyingi sana mpaka nikakata tamaa ya kupona.

Waambie hao wanaomuuguza tuwasiliane nimtumie hiyo dawa iliyoniponyesha niwatumie ajaribu.
Hii ni bila malipo sitaki hata mia ya huyo maasai kokoo.
 
Kisima,
We nijulishe hata pm hawa wamasai hata Kiswahili hawajui wametokea huko monduli ndani ndani, huyu mgonjwa ni mtu mzima,( kokoo)
Walisema huu ugonjwa umewasumbua muda mrefu
 
Sawa mkuu Bushmamy
Fanya hivi, nitumie PM wewe make mimi kila nikiingia huko sikioni kitufe cha option ya title.
 
Bushmamy waambie hao masai tuwasiliane. Huyo mgonjwa arudishwe hospitali akapate dawa ya kutuliza hizo severe attacks otherwise itakuja imbane azime mazima kabisaa!

Na inategemea na umri wa huyo mgonjwa kama yupo aged sana na ugonjwa anao kwa muda mrefu ni hatari sana. Atumie inhaler asitumie salbutamol ndo mbaya zaidi.

Pumu ni ugonjwa mbaya na hatari sana hasa mgonjwa akiwa mtu mzima dying is a matter of few seconds. Waachane na waganga matapeli.

Binafsi nilikuwa mgonjwa wa asthma tangu utotoni mpaka nikiwa 30s ila nilipata msaada wa tiba ndani ya siku moja tu nikapona tokea 2012 mpaka leo 2020 sijapata mashambulizi tena. Wazazi wangu na mimi pia tuliliwa pesa nyingi sana mpaka nikakata tamaa ya kupona.

Waambie hao wanaomuuguza tuwasiliane nimtumie hiyo dawa iliyoniponyesha niwatumie ajaribu. Hii ni bila malipo sitaki hata mia ya huyo maasai kokoo.
 
Kisima, Kiongozi naomba namba yako tuwasiliane ni muhanga wa pumu inanisumbua sana natamani kupona kama wewe ndugu
 
Back
Top Bottom