Wakuu naombeni ushauri

Greg50

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
1,960
Reaction score
2,455
mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana nmefaulu naenda A level na kombi ya PCM....sasa nilitaka nikifika chuo nisomee mambo ya computer,,,je nijipange kusomea upande gani wa computer??....kama nimekosea mahali ruhusa kunisahihisha
 
wakuu jongeeni basi kwenye huu uzi mseme yenu
 
Hyo pcm yenyewe hujajua kama utaifaulu hapo form 6 tayari umeanza kuomba ushauri wa nin cha kusoma chuo!kijana,ucje ukaone watu wanabutua dv 1 au 2 za pcm ukadhani ni rahisi kihvyo!jipange kwanza kwenda kukabiliana na advance then ndo urudi hapa kwa ushauri.
 

mi naamini kwa uwezo wa Mungu advance nitapasua kwaiyo ingekua vyema tu ukinishauri
 
There other things come automatically...hilo swala lako usijali utalifahamu tu siku ikifika mungu akipenda. Cha kufanya muda huu kabla post za shule bado hazijatoka fanya hivi..
1:katafute tuition upige maana mziki wa PCM sio kama penalti za ozil
2:tuion uwe unasoma jumatatu hadi alhamisi
3:the rest days ambazo ni ijumaa hadi jpil katafute kituo chochote cha computer usome then itakusaidia mbelni uendako
4:tafuta mwanafunzi au mtu yeyote aliyesomea maswla ya PCM akupe ushauri wa kutosha juu ya swala lako.......
 
Compyta hailipi labda kam utakuw mwlmu wa kompyta... Dogo msuli w a-level kumuomb Mungu tu haitoshi... Jipange sana sana egm yenyw inakuweka macho ucku kucha sembuse pcm.. For the time being go for tution thnk about excellin first then other wl come automatical...uwe n fedha y kutosha ya nauli n tution fee .... Tatzo la private mwlmu ukimkut hajui tayar imekul kwk mapind kupiga ni mpka likizo hehehe....matokeo yk y 4m six ndio yatakwmbia usome nini pia sera y selikari mfno sas hv maswl y gec au pengne home background ...w2 weng wanakuwga n malengo yao tangu wadogo lakn kadr anavyzd kukua wanabdlika kutokan n fursa zilizopo...mfno mim ndoto yang ilikuw auditor(mkaguz wa hesabu hususan kifdha) lakn sasa hivi naxomea kuw quantity surveyor....kikubwa ni kufaulu sana alafu mengne yanakuja yenyw
 

una mawazo mazuri sana kijana,lakini huo uandishi wako ni mbovu balaa,quantity surveyor gani una uandishi mbovu namna hii?jirekebishe bana.
 

sawa mkuu ushauri wako nimeusikia na naufanyia kazi nimeshajisajili kwa tuition ya pre 4m5 naanza wiki ijayo...asante sanaaaaa
 

sawa mkuu nimekusikia ngoja nianze kupambana na hii A levo asante sanaaaa
 
mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana nmefaulu naenda A level na kombi ya PCM....sasa nilitaka nikifika chuo nisomee mambo ya computer,,,je nijipange kusomea upande gani wa computer??....kama nimekosea mahali ruhusa kunisahihisha

Masomo ya elimu ya juu ya kompyuta huwa yana fani mbili:

1. Uhandisi wa Kompyuta
Kozi nyingi ziangukiazo hapa huwa ni miaka minne na mhitimu hupata shahada ya kwanza ya uhandisi katika kozi hiyo aliyoisomea.

Pia kozi nyingi za hapa hujikita zaidi na upande wa hardware, hivyo kumuandaa mwanafunzi katika mlengo huo.

2. Sayansi ya Kompyuta
Kozi nyingi ziangukiazo hapa huwa ni miaka mitatu na mhitimu hupata shahada ya kwanza ya sayansi katika kozi hiyo aliyoisomea.

Pia kozi nyingi za hapa hujikita zaidi na upande wa software, hivyo kumuandaa mwanafunzi katika mlengo huo.

Laiti kama ungeliandika ni nini matarajio yako iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe ingelikuwa rahisi kukueleza kwa upana zaidi.

Mchepuo wa PCM utakuandaa kwa ujumla na wala hautakupa nafasi ya kujiandaa katika fani moja pekee.

Bahati mbaya katika mitaala ya elimu ya Tanzania, somo la Fizikia kwa A-Level huwa halina topic yoyote ifundishayo elimu ya kompyuta.
 
Kijana uko chuoni kweli? Mbona hujui kuandika? Kwa uandishi huu sishangai hata hiyo EGM ilikutoa jasho.
 
kama utafaulu vizuri Advance unaweza soma Computer Science, Computer Engineering, Information System au Tele com. Ila kumbuka PCM sio mchezo.Kama umefaulu Kwa msaada wa BRN jipange.PCM haihitaji Wapaka poda,wabana pua,wauza sura wala wavaa mlegezo.Usisahau kununua Scientific calculator fn 991.Chunga sana baadhi ya shule za serikali ni hatari Kwa PCM yako.
 

.
unazungumzia computer gani mkuu?
LAP TOP au DESKTOP ?

.
 
mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana nmefaulu naenda A level na kombi ya PCM....sasa nilitaka nikifika chuo nisomee mambo ya computer,,,je nijipange kusomea upande gani wa computer??....kama nimekosea mahali ruhusa kunisahihisha

.
Dogo kama kuna mtu kaku insipere juzi juzi tu
nawe ukavutiwa ukapanga na ww kusomea Computer basi we achana nayo tu Fanya mishe zingine....
Utasikia computer hailipi!
Jiulize inao walipa ni wachawi au?
.
Mafanikio huja kwa kupenda unacho fanya
.
Dunia hii inazunguka kitu utakacho ona kina dili sana kwa sasa badae kinaweza badilika afu ukashangaa,,
ila cha msingi ww nikufanya right choice.........
Ambayo hutajutia baadae
.
Over
 
acha kuteleza hata kama una future nzuri siyo ivyo cha msingi angalia hili lililopo ndo ukabidianenalo nalo
 
Kijana uko chuoni kweli? Mbona hujui kuandika? Kwa uandishi huu sishangai hata hiyo EGM ilikutoa jasho.

ta..ta..ta.. Unapotez mud kunirkebsh jomb kikubw kuw n ki2 kichwan n kufaulu...wewe endlea kufany kaz y kurekebish w2 wenzio 2napga madili y msing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…