Wakuu naombeni ushauri

Wakuu naombeni ushauri

Compyta hailipi labda kam utakuw mwlmu wa kompyta... Dogo msuli w a-level kumuomb Mungu tu haitoshi... Jipange sana sana egm yenyw inakuweka macho ucku kucha sembuse pcm.. For the time being go for tution thnk about excellin first then other wl come automatical...uwe n fedha y kutosha ya nauli n tution fee .... Tatzo la private mwlmu ukimkut hajui tayar imekul kwk mapind kupiga ni mpka likizo hehehe....matokeo yk y 4m six ndio yatakwmbia usome nini pia sera y selikari mfno sas hv maswl y gec au pengne home background ...w2 weng wanakuwga n malengo yao tangu wadogo lakn kadr anavyzd kukua wanabdlika kutokan n fursa zilizopo...mfno mim ndoto yang ilikuw auditor(mkaguz wa hesabu hususan kifdha) lakn sasa hivi naxomea kuw quantity surveyor....kikubwa ni kufaulu sana alafu mengne yanakuja yenyw

Wewe Quantity Surveyor hujui hata kuandika,tofauti ya S na X hujui.Sasa hiyo Bills of Quantity (BOQ) unaandaaje.Jifunze kuandika vizuri nina waswasi hata huyo EGM hukusoma.
 
Wewe Quantity Surveyor hujui hata kuandika,tofauti ya S na X hujui.Sasa hiyo Bills of Quantity (BOQ) unaandaaje.Jifunze kuandika vizuri nina waswasi hata huyo EGM hukusoma.

acha unafiki dmu wako unamwndkiaje msg unajitia msomi kumbe mwlmu wa chekechea ngaji mkubw
 
Back
Top Bottom