Wakuu,napenda sana kupiga chabo.

Ukiweza tafuta wadau kabisa!!👿 muanzishe chama cha wapiga chabo
 
Hiyo nayo unaita hobi? Huo ni ugonjwa wa akili
 
Wenzio akina Elon Musk wanafikiria kutua sayari ya Mars,wewe mwenzetu unawaza mambo ya kupiga chabo.hili nalo ni ajabu la dunia
 
Usiache mwana2ane bonge la starehe....umenikumbusha enzi za uteenager nilikuwa napenda kupiga chabo basi unaishia kubaishia ukuta🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utafukiwa km mzoga
Wewe utafukiwa kama siyo mzoga😁akili za wapumbavu hizi ukristo wa kweli hautambui maziko kama sehemu ya dini ...ila mudi boy na wakatoliki ndiyo walio leta huo uhuni na sasa wakristo wote wameiga upumbavu wa shetani.
 
Kitaalamu inaitwa voyeurism. Sijajua kama unaomba msaada au umekuja kutupa taarifa, addiction ikiwa ya juu hutokea unapiga chabo na kumasturbate hapohapo.
 
Hata kuangalia porno pia ni upigaji chabo....mshambulieni tu huyu mpumbavu mwenzenu🤤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…