Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Ndio adhabu yake?Kamdomo kujifanya unajua kila kitu
USSR
Sasa kama nchi inaongozwa na majambazi ataachaje kutekwa,,,hii nchi ili uwe huruma wewe kubali tu kuwa unalawitiwa na viongozi wa sisiemu, KIUFUPI WANANCHI TUNALAWITIWA
Mbona kama ww mchawi?Atasota rumande.
Sasa huyu naye anarudi Bongo usawa huu wakati anaona kinachoendelea kwani alisahau nini?
Kashindwa kuongea na connections zake za State Department kuchukua ukimbizi aangalie upepo kwanza?
Au ndiyo anataka kupambana kutoka ground?