Wakuu natafuta hii gari

Nimeiona moja mbez huku last week..ikanichanganya sana..jamaa kakapaka rang ya pink..halaf ndan keupeee peee..kana ngaa balaa..kasafiiiiiii...sjui mtandaon japan vipo hiv..sjui hata vinatokaga wap
Japan hazijawahi kukanyaga, hii ni ubunifu wa Hitler mjerumani, alitaka gari itakayoweza kwenda jangwani ambako hakuna maji kabisa.
 
Kuna post nakupa link jichagulie moja tuongee

 
Ila watu zamani walikuwa wabunifu sana ukiiangalia hii body au ya 109 yaani huna cha kukosoa!
 
Bei zake bila tozo hazikamatiki, Mwaka Jana siku ya Nyerere Day tulikuwa Leaders Club. Kulikuwa na event ya magari ya kizamani Kuna mwamba alikuja na VW Beetle aliagiza Marekani mpaka inafika Bongo alisema ametumia kama 50millions.
Nakubali mkuu,hizo Bei ndio zenyewe Sasa.Yaani vintage wauze kwa Bei ya Corolla itawezekanaje mkuu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…