Wakuu natafuta hii gari

Wakuu natafuta hii gari

Japan hazijawahi kukanyaga, hii ni ubunifu wa Hitler mjerumani, alitaka gari itakayoweza kwenda jangwani ambako hakuna maji kabisa.
Ninakumbuka hizi gari zamani tulipanda milima ya Lushoto na Amani. Barabara ya Lushoto siyo hii iliyochongwa na Mjerumani miaka ya 80 ninaongelea ile ya 70’s
 
Nimeiona moja mbez huku last week..ikanichanganya sana..jamaa kakapaka rang ya pink..halaf ndan keupeee peee..kana ngaa balaa..kasafiiiiiii...sjui mtandaon japan vipo hiv..sjui hata vinatokaga wap
Nunua Toyota ist, itunze uani. 20 years later utakuwa kama jamaa [emoji13]
 
Nitafute ninayo mwanza nzuri sana unaweza nipata Instagram @magari_bei_rahisi_mwanza naogopa.
 
Back
Top Bottom