Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishawahi kumuuliza kama inatembea alisema iko vizuri na anaza mbiliJamaa huwa anakapaki tu hapo nje kama vile kapo kwenye maonyesho
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ninakumbuka hizi gari zamani tulipanda milima ya Lushoto na Amani. Barabara ya Lushoto siyo hii iliyochongwa na Mjerumani miaka ya 80 ninaongelea ile ya 70’sJapan hazijawahi kukanyaga, hii ni ubunifu wa Hitler mjerumani, alitaka gari itakayoweza kwenda jangwani ambako hakuna maji kabisa.
Nunua Toyota ist, itunze uani. 20 years later utakuwa kama jamaa [emoji13]Nimeiona moja mbez huku last week..ikanichanganya sana..jamaa kakapaka rang ya pink..halaf ndan keupeee peee..kana ngaa balaa..kasafiiiiiii...sjui mtandaon japan vipo hiv..sjui hata vinatokaga wap
Nimekaona kana rangi ya orange [emoji16][emoji16]Jamaa huwa anakapaki tu hapo nje kama vile kapo kwenye maonyesho
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nje ya Tz hutaki uangaliziweChenye hali nzur natoa 2.5-3m
kama hujapata nichekJamani eeh...mim hii gar kwa wakat huu ndo my dream car...nataka niipate nii pimp kiwe convertable...yaan naipenda hii gar jaman
Anaejua napoweza pata kwa bei nzur na hali nzur....sjui nikaweke engene gan haka
Ushaur wenu wakuu...
Uzi tayarView attachment 1928468
Kaweka engine mbele? Hiyo show ya nini hapo. Show ipo nyuma Mshana...hahah