Wakuu nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza na ninaishi mazingira ambayo ni rough kiasi. Naomba kujua ni gari gani dogo linaweza kuvumilia

Kwa mazingira ya huko tafuta Suzuki Jimmy au Suzuki Escudo old model. Huko Suzuki Escudo zipo nyingi suala la spea hutopata Tabu.

Pia kwa mazingira ya huko Mbinga mpaka Nyasa ukichukua Land Cruiser Series 76 au 80 yenye injini ya 1hz ambayo ni used kwa million 12-16. Utadumu nayo mpaka wajukuu na huko utafanya kazi msimu wowote na utapata hata wakodishaji.Hizo Land Cruiser utaenda kutafuta Mbeya zile zilizotoka Malawi.
 
Kama ni gari ndogo ya petrol na mfuko wako sio mkubwa nunua hizi gari Toyota Chaser Gr80 maarufu kama Chaser mayai au Toyota Mark 2 Gr80 zenye injini ya 1G au 4S baadhi zilikuwa na diff na zilikuwa zinavuta nyuma hizi ni gari za kizamani kidogo ila kwa huko utadumu nayo.

Pia unaweza ukachukua balloon iwe Toyota Mark 2 au Cresta au ukaja mpaka uzao wa GX100 iwe ni Toyota Mark 2/Cresta/Chaser.

Huko kuna milima mikali unahitaji gari yenye nguvu hizo nilizotaja zinahimili barabara za huko na nilipita huko miaka ya 2009 nimekuja tena mwaka huu nyingine nimezikuta bado zipo kazini.
 
Kwa mazingira ya huko tafuta Suzuki Jimmy au Suzuki Escudo old model. Huko Suzuki Escudo zipo nyingi suala la spea hutopata Tabu.

Pia kwa mazingira ya huko Mbinga mpaka Nyasa ukichukua Land Cruiser Series 76 au 80 yenye injini ya 1hz ambayo ni used kwa million 12-16. Utadumu nayo mpaka wajukuu na huko utafanya kazi msimu wowote na utapata hata wakodishaji.Hizo Land Cruiser utaenda kutafuta Mbeya zile zilizotoka Malawi.
Nasikia malawi magari bei rahisi sana
 
Kama ni gari ndogo ya petrol na mfuko wako sio mkubwa nunua hizi gari Toyota Chaser Gr80 maarufu kama Chaser mayai au Toyota Mark 2 Gr80 zenye injini ya 1G au 4S baadhi...

Mzee kama kuna gari ya kijinga kwenye utelezi ni gx 100,hio aachane nayo kabisa kwa ushauri wangu.

Naona Escudo massawe/old model itamfaa sana,ina 4wd kali sana ile gari,kuna sehemu hua inapita hata Hizi Suv with Full time 4wd hazisogezi pua yake.
 
SUV gani ina full time 4WD
 
Kwa hizi sifa
-Mara ya kwanza kumiliki gari
-Rough road
-Gari ndogo
-Gari ya gharama rafiki.

Hapo unashauriwa kununua Suzuki Jimny, ama Suzuki Escudo (old model). Tofauti na hapo ni vigumu kupata gari yenye kufit sifa zote hizo kwa pamoja. Sana sana ukikwepa unaweza kuishia kwenye kumiliki pikipiki, maana inaweza kuwa msaada kuliko kung'ang'ania kumiliki gari yoyote wakati vigezo havikidhi.
 
Kwa mazingira ya huko tafuta Suzuki Jimmy au Suzuki Escudo old model. Huko Suzuki Escudo zipo nyingi suala la spea hutopata Tabu.

Pia kwa mazingira ya huko Mbinga mpaka Nyasa ukichukua Land Cruiser Series 76 au 80 yenye injini ya 1hz ambayo ni used kwa million 12-16. Utadumu nayo mpaka wajukuu na huko utafanya kazi msimu wowote na utapata hata wakodishaji.Hizo Land Cruiser utaenda kutafuta Mbeya zile zilizotoka Malawi.
Boss nataka kununua gari ndogo ila nataka kulipa kidogo kidogo inawezekana?
 
Kwa hizi sifa
-Mara ya kwanza kumiliki gari
-Rough road
-Gari ndogo
-Gari ya gharama rafiki.

Hapo unashauriwa kununua Suzuki Jimny, ama Suzuki Escudo (old model). Tofauti na hapo ni vigumu kupata gari yenye kufit sifa zote hizo kwa pamoja. Sana sana ukikwepa unaweza kuishia kwenye kumiliki pikipiki, maana inaweza kuwa msaada kuliko kung'ang'ania kumiliki gari yoyote wakati vigezo havikidhi.
Namshauri anunue RAV 4 OLD MODEL ya mwaka 1997 au 1998/1999!

Iwe ni full time four wheel. Akipata ya Manual nzuri zaidi. Gari inavumilia sana, ila ina urafiki na maji ya uarabuni.
 
Namshauri achukue toyota cami/ terios kid itamfaa kwa sabab
1. Lipo juu
2. Lina 4wd
3. Bei yake sio kubwa( around 9million unapata used from japan)
4. Linatumia mafuta vizuri
5. Lina seat za kukaa watu 4
 
Toyota cami
images%20(26).jpg
 
Namshauri achukue toyota cami/ terios kid itamfaa kwa sabab
1. Lipo juu
2. Lina 4wd
3. Bei yake sio kubwa( around 9million unapata used from japan)
4. Linatumia mafuta vizuri
5. Lina seat za kukaa watu 4
Terios kid
images%20(35).jpg
 
Hii Toyota Cami ukiipeleka Nyasa jiandae kuhudhuria gereji mara kwa mara.
Mkuu Kutoka Nyasa kwenda Mbinga kuna milima mikali sana na njia za kwenda Mpapa,Matili, Dar Porini mvua ikinyesha hiyo Cami na 4wd yake itakaa.
But ni bora hiyo cami kuliko akiwa na sedan maana itampa shida zaid
 
Back
Top Bottom