Michaelson chujagi
Member
- Mar 25, 2015
- 21
- 11
Nasikia malawi magari bei rahisi sanaKwa mazingira ya huko tafuta Suzuki Jimmy au Suzuki Escudo old model. Huko Suzuki Escudo zipo nyingi suala la spea hutopata Tabu.
Pia kwa mazingira ya huko Mbinga mpaka Nyasa ukichukua Land Cruiser Series 76 au 80 yenye injini ya 1hz ambayo ni used kwa million 12-16. Utadumu nayo mpaka wajukuu na huko utafanya kazi msimu wowote na utapata hata wakodishaji.Hizo Land Cruiser utaenda kutafuta Mbeya zile zilizotoka Malawi.
Kama ni gari ndogo ya petrol na mfuko wako sio mkubwa nunua hizi gari Toyota Chaser Gr80 maarufu kama Chaser mayai au Toyota Mark 2 Gr80 zenye injini ya 1G au 4S baadhi...
SUV gani ina full time 4WDMzee kama kuna gari ya kijinga kwenye utelezi ni gx 100,hio aachane nayo kabisa kwa ushauri wangu.
Naona Escudo massawe/old model itamfaa sana,ina 4wd kali sana ile gari,kuna sehemu hua inapita hata Hizi Suv with Full time 4wd hazisogezi pua yake.
Vipi matumizi ya mafuta kwa hizo landcruiser 76 na 80.Kwa mazingira ya huko tafuta Suzuki Jimmy au Suzuki Escudo old model. Huko Suzuki Escudo zipo nyingi suala la spea....
Ukipata yenye injini ya 1HZ utumiaji wake wa mafuta ni mzuri na ina nguvu sana.Vipi matumizi ya mafuta kwa hizo landcruiser 76 na 80.
Boss nataka kununua gari ndogo ila nataka kulipa kidogo kidogo inawezekana?Kwa mazingira ya huko tafuta Suzuki Jimmy au Suzuki Escudo old model. Huko Suzuki Escudo zipo nyingi suala la spea hutopata Tabu.
Pia kwa mazingira ya huko Mbinga mpaka Nyasa ukichukua Land Cruiser Series 76 au 80 yenye injini ya 1hz ambayo ni used kwa million 12-16. Utadumu nayo mpaka wajukuu na huko utafanya kazi msimu wowote na utapata hata wakodishaji.Hizo Land Cruiser utaenda kutafuta Mbeya zile zilizotoka Malawi.
Namshauri anunue RAV 4 OLD MODEL ya mwaka 1997 au 1998/1999!Kwa hizi sifa
-Mara ya kwanza kumiliki gari
-Rough road
-Gari ndogo
-Gari ya gharama rafiki.
Hapo unashauriwa kununua Suzuki Jimny, ama Suzuki Escudo (old model). Tofauti na hapo ni vigumu kupata gari yenye kufit sifa zote hizo kwa pamoja. Sana sana ukikwepa unaweza kuishia kwenye kumiliki pikipiki, maana inaweza kuwa msaada kuliko kung'ang'ania kumiliki gari yoyote wakati vigezo havikidhi.
Toyota camiNamshauri achukue toyota cami/ terios kid itamfaa kwa sabab
1. Lipo juu
2. Lina 4wd
3. Bei yake sio kubwa( around 9million unapata used from japan)
4. Linatumia mafuta vizuri
5. Lina seat za kukaa watu 4
Terios kidNamshauri achukue toyota cami/ terios kid itamfaa kwa sabab
1. Lipo juu
2. Lina 4wd
3. Bei yake sio kubwa( around 9million unapata used from japan)
4. Linatumia mafuta vizuri
5. Lina seat za kukaa watu 4
Hii Toyota Cami ukiipeleka Nyasa jiandae kuhudhuria gereji mara kwa mara.Toyota camiView attachment 1549066
But ni bora hiyo cami kuliko akiwa na sedan maana itampa shida zaidHii Toyota Cami ukiipeleka Nyasa jiandae kuhudhuria gereji mara kwa mara.
Mkuu Kutoka Nyasa kwenda Mbinga kuna milima mikali sana na njia za kwenda Mpapa,Matili, Dar Porini mvua ikinyesha hiyo Cami na 4wd yake itakaa.
Gari linaitwa kid bado unajitia kihere hereTerios kidView attachment 1549067
Linaitwa daihatsu terios kidGari linaitwa kid bado unajitia kihere here