ni mfano wa makohozi kama sio kamasi yaani imekuwa kero...... yananilazimu kuyavuta kila dakika kuptia tundu zilizomo kinywan zinanazoptsha hewa mpaka puan huwa nashndwa kuvtema kwan huwa vnakuwa vdogo na vizito vinaishia kooni...naishiaga kuvimeza tu.......yaan nikipenga kwa pua sina kamasi kabsa......msaada wakuu!
Kama kuna vidonda kweli tumia Pen V
km ni makohozi mazito wewe meza dawa zote tu za kamasi mfano hiyo Chest cough. Vicks Kingo, BreaCol (hizi ni za kumumusa) Coldrill naona zitakaushana kumaliza tatizo Tembelea maduka ya Pharmacy