wakuu nateseka na kamasi za kooni!

wakuu nateseka na kamasi za kooni!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
ni mfano wa makohozi kama sio kamasi yaani imekuwa kero...... yananilazimu kuyavuta kila dakika kuptia tundu zilizomo kinywan zinanazoptsha hewa mpaka puan huwa nashndwa kuvtema kwan huwa vnakuwa vdogo na vizito vinaishia kooni...naishiaga kuvimeza tu.......yaan nikipenga kwa pua sina kamasi kabsa......msaada wakuu!
 
Tumia chest cuogh kama ni kooni pamoja na pen v.
 
Kama kuna vidonda kweli tumia Pen V
km ni makohozi mazito wewe meza dawa zote tu za kamasi mfano hiyo Chest cough. Vicks Kingo, BreaCol (hizi ni za kumumusa) Coldrill naona zitakaushana kumaliza tatizo Tembelea maduka ya Pharmacy
 
ahsanteni sana wakuu....natafuta hzo dawa haraka sana!
 
ahsanteni sana wakuu....natafuta hzo dawa haraka sana!
kama ni vya muda mrefu itakuwa infenctions piga antibiotic kama hiyo pen v. usipopona mwambie daktari akubadilishie dawa.
 
Back
Top Bottom