Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 619 Reaction score 656 Jul 21, 2014 #1 Nauza kanga jike na dume jike anawatoto 16 wana umri wa week 2 na nusu nipo kibaha alie tayar ani pm bei sawa na bure.
Nauza kanga jike na dume jike anawatoto 16 wana umri wa week 2 na nusu nipo kibaha alie tayar ani pm bei sawa na bure.
amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 918 Jul 21, 2014 #2 Mi nataka kuku na mayai yake kama unao nijulishe.
Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 619 Reaction score 656 Jul 21, 2014 Thread starter #3 amakyasya said: Mi nataka kuku na mayai yake kama unao nijulishe. Click to expand... Nimesema kanga sio kuku we vp.
amakyasya said: Mi nataka kuku na mayai yake kama unao nijulishe. Click to expand... Nimesema kanga sio kuku we vp.
October JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 2,145 Reaction score 93 Jul 21, 2014 #4 Kanga wanapiga Makelele Mno....
Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 619 Reaction score 656 Jul 21, 2014 Thread starter #5 October said: Kanga wanapiga Makelele Mno.... Click to expand... makelele gani mkuu?
October JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 2,145 Reaction score 93 Jul 21, 2014 #6 Kanga ni wazuri wanavutia ila Hawajatulia.... Kuna wakati wanacharuka wanapiga Kelele kama hawana akili nzuri. Kama hujawazoea inakua taabu.
Kanga ni wazuri wanavutia ila Hawajatulia.... Kuna wakati wanacharuka wanapiga Kelele kama hawana akili nzuri. Kama hujawazoea inakua taabu.
C Cyan6 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 4,531 Reaction score 1,225 Jul 21, 2014 #7 Mkuu mi nawataka nenda Pm nitakupa no uniletee!
M momentoftruth JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,057 Reaction score 2,190 Jul 21, 2014 #8 Ahsante kwa taarifa!
T The Great Architec Member Joined Aug 19, 2012 Posts 86 Reaction score 18 Jul 21, 2014 #9 Nilidhani unauza khanga za kuvaa pamoja na mvaaji
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,484 Reaction score 15,297 Jul 21, 2014 #10 Roby G said: Nauza kanga jike na dume jike anawatoto 16 wana umri wa week 2 na nusu nipo kibaha alie tayar ani pm bei sawa na bure. Click to expand... Chemsha supu unywe
Roby G said: Nauza kanga jike na dume jike anawatoto 16 wana umri wa week 2 na nusu nipo kibaha alie tayar ani pm bei sawa na bure. Click to expand... Chemsha supu unywe
Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 619 Reaction score 656 Jul 22, 2014 Thread starter #11 The Great Architec said: Nilidhani unauza khanga za kuvaa pamoja na mvaaji Click to expand... Acha bangi unaona sasa madhara yake yameanza kujitokeza.
The Great Architec said: Nilidhani unauza khanga za kuvaa pamoja na mvaaji Click to expand... Acha bangi unaona sasa madhara yake yameanza kujitokeza.
Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 619 Reaction score 656 Jul 22, 2014 Thread starter #12 October said: Kanga ni wazuri wanavutia ila Hawajatulia.... Kuna wakati wanacharuka wanapiga Kelele kama hawana akili nzuri. Kama hujawazoea inakua taabu. Click to expand... poa mkuu.
October said: Kanga ni wazuri wanavutia ila Hawajatulia.... Kuna wakati wanacharuka wanapiga Kelele kama hawana akili nzuri. Kama hujawazoea inakua taabu. Click to expand... poa mkuu.