Wakuu nauza kanga pamoja na watoto wake.

Roby G

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Posts
619
Reaction score
656
Nauza kanga jike na dume jike anawatoto 16 wana umri wa week 2 na nusu nipo kibaha alie tayar ani pm bei sawa na bure.
 
Mi nataka kuku na mayai yake kama unao nijulishe.
 
Kanga ni wazuri wanavutia ila Hawajatulia.... Kuna wakati wanacharuka wanapiga Kelele kama hawana akili nzuri. Kama hujawazoea inakua taabu.
 
Mkuu mi nawataka nenda Pm nitakupa no uniletee!
 
Kanga ni wazuri wanavutia ila Hawajatulia.... Kuna wakati wanacharuka wanapiga Kelele kama hawana akili nzuri. Kama hujawazoea inakua taabu.

poa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…