Wakuu nawakumbusha tu kuwa leo ndio siku ya 10, usielewa usiulize

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Jamaa aliaga akisema msipofungua kanisa la ufufuo na uzima baada ya siku kumi nitarudi tena, sasa hivi nikirudi jambo nitakaloliongea litachafua hali ya hewa.

Na mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote kutoka kwa ofisi ya msajili wa taasisi za kidini, unavyowaza jamaa atakuja na comeback gani kama alivyoaga?

Screenshot 2025-08-25 055523.png
 
Jamaa aliaga akisema msipofungua kanisa la ufufuo na uzima baada ya siku kumi nitarudi tena, sasa hivi nikirudi jambo nitakaloliongea litachafua hali ya hewa.

Na mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote kutoka kwa ofisi ya msajili wa taasisi za kidini, unavyowaza jamaa atakuja na comeback gani kama alivyoaga?

View attachment 3452536
Hakuna neno gumu ambalo anaweza kuongea watu wakashtuka. Polepole alisema anakuja kusema maneno magumu, kaishia kusema ambayo kila mwaka yanase mwa mpaka na kina Nape. Sasa anaishia kuwalaumu vyama vya upinzani eti hawamsaport? Na huyu mchungaji fake naye hana jipya la kuongea nchi ikashtuka. Hakuna, nasema hakuna.
 
Tuziache mamlaka ambazo tuliziamini sisi wenyewe kwa kuzipigia kura zifanye kazi kwa uhuru,kama tunataka kuwashauri tuwashauri kwa ule utaratibu uliowekwa kisheria.
 
Hakuna neno gumu ambalo anaweza kuongea watu wakashtuka. Polepole alisema anakuja kusema maneno magumu, kaishia kusema ambayo kila mwaka yanase mwa mpaka na kina Nape. Sasa anaishia kuwalaumu vyama vya upinzani eti hawamsaport? Na huyu mchungaji fake naye hana jipya la kuongea nchi ikashtuka. Hakuna, nasema hakuna.
Mbona NIDA na INeC watu tumestuka sana
Mi napenda sana wanavyowekana chiu bas
 
Back
Top Bottom